AfroShanghai - Nafurahi Kuona lugha Yangu ya Kiswahili inatumika hapa

Welcome, Guest. Please login or register.
Did you miss your activation email?
May 23, 2012, 06:19:56 PM

Home Help Search Calendar Login Register
+  AfroShanghai
|-+  GENERAL FORUMS
| |-+  African Languages and Regional Forums
| | |-+  Swahili
| | | |-+  Nafurahi Kuona lugha Yangu ya Kiswahili inatumika hapa
0 Members and 1 Guest are viewing this topic. « previous next »
Pages: [1] Print
Poll
Question: Wachina wanahitaji Kiswahili?
Swahili   -0 (0%)
English   -0 (0%)
Chinese   -0 (0%)
Total Members Voted: 0

Author Topic: Nafurahi Kuona lugha Yangu ya Kiswahili inatumika hapa  (Read 2711 times)
tianjingwaki
Freshman
*
Offline Offline

Posts: 1

« on: November 18, 2007, 11:33:28 PM »

    :)Nafurahi sana kuona kuna watu wanapenda kutumia Kiswahili hata tukiwa hapa China.
  Kitendo cha wachina kuanza kwenda kwa wingi Africa kumewafanya wajikute
wanahitaji sana kujua Kiswahili na sasa vyuo vingi tu hapa China vinafundisha
Lugha hii.Lakini cha kusikitisha ni kuwa wamiliki wa kiswahili ambao ni sisi
tumelala na hatuitumii vizuri hii nafasi.Nimeona chuo kimija hapa katika jiji la
Tianjin kukiwa na walimu watatu wachina wakifundisha Kiswahili,jamani kweli
hapa kuna kazi.haha!
   Nafikiri ni wakati wetu wa kuamka na kuweza kutumia Kiswahili vyema.
Hapa Tianjin nina kikundi cha kucheza Ngoma za utamaduni za Kiswahili
kwa yeyote anayeona kuwa kuna mahali wanahitaji ngoma za Kiafrica basi anaweza
wasiliana na mimi.Mimi ni Mtanzania anuani yangu ya Mtandao ni johngwakisa@yahoo.com
Logged
Pages: [1] Print 
« previous next »
 
AfroShanghai, Nafurahi Kuona lugha Yangu ya Kiswahili inatumika hapa - Theme by Mustang Forums; Web Hosting by SinoHosting.net
SMF 2.0.2 | SMF © 2011, Simple Machines Copyright 2005-2012 All Rights Reserved
Platinum Sponsors: China Africa Shipping; Oriental Computers