Poll
Question: Wachina wanahitaji Kiswahili?
Swahili - 0 (0%)
English - 0 (0%)
Chinese - 0 (0%)
Total Voters: 0

Pages: [1]
  Print  
Author Topic: Nafurahi Kuona lugha Yangu ya Kiswahili inatumika hapa  (Read 2578 times)
0 Members and 1 Guest are viewing this topic.
tianjingwaki
Freshman
*
Offline Offline

Posts: 1


« on: November 18, 2007, 10:33:28 PM »

    SmileyNafurahi sana kuona kuna watu wanapenda kutumia Kiswahili hata tukiwa hapa China.
  Kitendo cha wachina kuanza kwenda kwa wingi Africa kumewafanya wajikute
wanahitaji sana kujua Kiswahili na sasa vyuo vingi tu hapa China vinafundisha
Lugha hii.Lakini cha kusikitisha ni kuwa wamiliki wa kiswahili ambao ni sisi
tumelala na hatuitumii vizuri hii nafasi.Nimeona chuo kimija hapa katika jiji la
Tianjin kukiwa na walimu watatu wachina wakifundisha Kiswahili,jamani kweli
hapa kuna kazi.haha!
   Nafikiri ni wakati wetu wa kuamka na kuweza kutumia Kiswahili vyema.
Hapa Tianjin nina kikundi cha kucheza Ngoma za utamaduni za Kiswahili
kwa yeyote anayeona kuwa kuna mahali wanahitaji ngoma za Kiafrica basi anaweza
wasiliana na mimi.Mimi ni Mtanzania anuani yangu ya Mtandao ni johngwakisa@yahoo.com
Logged
Pages: [1]
  Print  
 
Jump to:  

Powered by MySQL Powered by PHP Powered by SMF 1.1.11 | SMF © 2006-2009, Simple Machines LLC Valid XHTML 1.0! Valid CSS!